Contact

Unaweza kuwasiliana nasi kwa barua pepe au Simu za mkono ambazo tumeweka hapo chini na pia kujaza fomu yetu ambayo iko chini.

Send us mail

Image Gallery

Services Overview

Ushirika wa Udiakonia Faraja Tunatoa huduma mbalimbali katika jamii ambayo imetuzunguka na kwa kanisa hasa kwa wale ambao walikuwa wamesahaulika katika jamii, Ndio maana tulianzisha shule ya msingi kwa watoto wenye ulemavu wa viungo.

Contact Us

Unaweza kutufikia kwa mawasiliano haya au kufika sanya juu mjini na kupanda Noah za karansi na kushuka kwa Mapadre.

Address:B.O.Box 167, Sanya Juu
Telephone: +255 755 807 199
Mobile: +255 766 515 319
Mobile: +255 757 618 508
E-mail: info@ushirika-wa-udiakonia-faraja.org

Imetengenezwa na Ushirika wa Udiakonia Faraja